Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Oct 21, 2018 #1 Mshambuliaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi apata majeruhi ya mkono katika mchezo wa jana wa Barcelona dhidi ya Sevilla Katika mchezo huo Messi alisaidia upatikanaji wa goli 1 na kufunga goli 1 Mwisho wa mchezo huo Barcelona iliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2 Aidha, majeraha haya ya Messi yanasababisha aukose mchezo wa mahasimu wa Ligi Kuu Hispania maarufu El Classico Mchezo huo wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unatarajiwa kuchezwa Oktoba, 28 mwaka huu
Mshambuliaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi apata majeruhi ya mkono katika mchezo wa jana wa Barcelona dhidi ya Sevilla Katika mchezo huo Messi alisaidia upatikanaji wa goli 1 na kufunga goli 1 Mwisho wa mchezo huo Barcelona iliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2 Aidha, majeraha haya ya Messi yanasababisha aukose mchezo wa mahasimu wa Ligi Kuu Hispania maarufu El Classico Mchezo huo wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unatarajiwa kuchezwa Oktoba, 28 mwaka huu
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,544 Oct 21, 2018 #2 No Ronaldo no Messi..... Haitakuwa na mvuto...
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,251 Oct 21, 2018 #3 Si mbaya watachuana benzema bale, surelezz na wengine
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,884 Reaction score 5,016 Oct 21, 2018 #4 Itakuwa El Classical ambayo haina mvuto! Labda ni fursa kwa wengine kung'aa!
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,806 Reaction score 5,347 Oct 21, 2018 #5 Kama nessi amevunjika na mnyama cr7 amehama, basi mechi iahirishweee!
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Oct 21, 2018 #6 Waseme tuwaazime ajibu
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Oct 22, 2018 #7 nkuwi said: Kama nessi amevunjika na mnyama cr7 amehama, basi mechi iahirishweee! Click to expand... Nessi ndiyo nini?
nkuwi said: Kama nessi amevunjika na mnyama cr7 amehama, basi mechi iahirishweee! Click to expand... Nessi ndiyo nini?
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Oct 22, 2018 #8 Asingepata majeraha yangefika magoli 7....