Messi kuwekwa kwenye Noti ya Argentina

Anastahili
Hiyo ndio habari kuu kutoka Argentina

Mchezaji bora wa muda wote duniani Leon Messi anapendekezwa sura yake kutumika kwenye sarafu na noti za Argentina

Heshima kwa Messi

Gazeti la elfinanciero limeripoti
 
Latin America hakuna nchi ya kistaarabu kama Argentina. Nimefika Buenos Aires mwaka 2016 nilienjoy sana. Ila jamaa wanapenda Mpira saaaaana. Nilifika makao makuu ya Boca Junior na Liverplate acha kabisa

hivi unadhani Ulaya kuna nchi inayowezafanya upuuzi kama huo?
 
Kwa world cup hii messi kapiga penati nyingi zaidi ya mbappe na ishi sio kupiga penati tu ishu ni izo penati zinapatikana kihalali? kwa world cup ya mwaka huu penati za argentinga almost zote zilikua za mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…