Messi Messi Messi...!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Espanyol 0 Barcelona 4
Messi kaingia kambani x2 na ametoa assist Ya goli la pili la Dembele
Kwa walioshuhudia jinsi Messi alivyofight ktk game hii, ambayo kwake Ni game yake ya pili tangu atoke majeruhi
Tayari amefikia idadi sawa ya magoli na Stuani mchezaji anayeongoza kwa ufungaji là liga
Tuweke ushabiki pembeni hivi kwa style Ya uchezaji wa Messi ktk game hii, umahiri,Ball control speed na accuracy
Hivi Ni mchezaji gani kwa sasa ulaya anaeweza fanya mambo yale ?
Inakuweje Messi unamuweka no 5 ktk wachezaji bora wa dunia ?
Kwanini vigezo visiangalie uwezo halisi wa mchezaji ?
Hii ya kusema mchezaji timu yake ilifanyaga vizuri kwenye michuano mingine eti ndio imbebe naona kama sio
Leo hii Modric Anaanzaje kusimama na Messi ?
Ichezwe game Barca vs Réal Madrid tuangalie na tuthaminishe uwezo wao wote perfomance uwanjani ki ujumla... Itakuaje hapo ?
Nimeshuhudia Modric game nyingi za karibuni hamalizi ! Nyingine nyingi akianzia benchi.. Ati ni mchezaji bora wa ulaya na dunia !
Jamani Messi habari ingine hakika hakuna wa kumkaribia kwa sasa ulaya
 

Usiseme kwa sasa kamandaa...tokea dunia iumbwe....kuhusu ballon yani wamemfanyia unyama sana na isitoshe wamemweka nafasi ya 5! Kweli FIFA imeingiliwa na wahuni...Blatter we miss you!
 
Usiseme kwa sasa kamandaa...tokea dunia iumbwe....kuhusu ballon yani wamemfanyia unyama sana na isitoshe wamemweka nafasi ya 5! Kweli FIFA imeingiliwa na wahuni...Blatter we miss you!
Jamaa yupo sawa nakubaliana nawe ni Tangu dunia ianze
 
Hivi wakati messi alaivokua akizunguka uwanjani kama mtalii alie ufukweni beach ndani ya world cup mulikua wapi? Hizo goals, assist na ball controls angelizionesha ndani ya World cup na sio vijimechi vya Espanyol vichochoroni huko.

Wakati Luka Modric anawanyanyasa Argentina ndani ya world cup hata Messi nae alikuwa uwanjani anazurura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…