Messi na Balloon d'or ya 5

Huyo Neymar mbona hata uwezo wake hamfikii Eden Hazard!!!!

Uwezo wake ni wa kawaida tu ila anabebwa na media....

hivi neymar jr supastaa namba moja nchi ya soka duniani et hamfikii yule hazad Daaah bado ngumu kuamini
 
Huyo Neymar mbona hata uwezo wake hamfikii Eden Hazard!!!!

Uwezo wake ni wa kawaida tu ila anabebwa na media....
Pamoja na kuwa na mimi ni fan's wa chelsea ila mhhhh.!!!!
Ngoja kwanza napita....
 
Ki ukweli CR 7 mwaka huu akubali kushindwa. Mesi kafanya makubwa mno mwaka huu ila vipi kwa invisible Pirlo. Wanaodhani Pirlo mwaka huu apewe hii tuzo tuungane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…