Messi na Ronaldo kupitia nchi zao, hatarini kufuzu Kombe la Dunia 2018; Je, bila wao michuano hiyo itanoga?

Kombe La Dunia Lipo Kabla Ya Messi na Ronaldo...

Ni kweli mkuu. Ila uwepo wao huoni kama unaongeza ladha fulani kwenye michuano hiyo? Kama ilivyokuwa uwepo wa akina Zinedine Zidane, Ronaldinho, Ronaldo De lima, Miroslav Klose, Patric Viera, Fabio Cannavaro kipindi cha enzi zao kwenye michuano iliyopita.
 
Wanaomchukia wamchukie tu. King atabakia kuwa the king Na ndoo inawahusu urussi. Kama kawaida mzee wa hatrick *****,,,c mchezo
 
Wanaomchukia wamchukie tu. King atabakia kuwa the king Na ndoo inawahusu urussi. Kama kawaida mzee wa hatrick *****,,,c mchezo

Ndoo Gani hiyo??
Kwani 2010 Messi Hakuwemo WC? 2014 je hakuwemo?
Je Hawakuiona hiyo Ndoo?

Hivi Argentina Hii inauzuri Gani Ya Kuizidi Hile ya Mwaka 1990, 1994, 1998 na 2002?? Je Ni nini Walichokifanya??
Hivi Argentina iliyo na Watu Wanne Veron, Ortega, Batistuta na Crespo utaifananisha na Ya Watu Wanne kina Mscherano, Di Maria, Dyabla na Messi??

Mkuu Kwanza Tambua Argetina Safari Zake Zote basi na Messi Wao Hawaombi Wakutane na Timu Hizi Tatu BRAZIL, GERMANY na ENGLAND kwani Huwa Ndiyo Mwisho Wa Safari Yao...
 
World Cup bila Argentina/King Messi isingenoga__ni sawa sawa na Ndondo Cup.



Ndugu wapenzi Argentina National Teams Fans and others. Tunashukuru Mungu kuishuhudia timu yetu pendwa yenye mashabiki wengi mnoo duniani mmoja wao ni mimi BlackP__ am very happy kuona majembe yakiongozwa na Mfalme wa soka kuwahi kutokea katika ulimwengu huu wa soka THE LION MESSI/SIMBA ML10 akiibeba timu yake kwenda Russia___Argentina imeizamisha ecuador goli 3 kwa 1 hapo jana usiku. Tukumbushane kidogo hapo awali timu yetu pendwa ilikuwa inashikilia nafasi ya 6 na sasa ipo nafasi ya 3.kwa maana hiyo imeshafuzu kuelekea moja kwa moja nchini Russia kwa Super power Mr Puttin.

1-Brazil
2-Uruguay
3-ARGENTINA
4-Colombia
5-Peru___play off

Timu 4 zimeshafuzu moja kwa moja___namba 5 itacheza play off
 
Hatarii.......
 
Iisingenoga kama german,spain na brazil wasingekwenda argentina haina maajabu.
 

Icngenoga kamanda.mbona linajulikana hilo. king Messi na timu yake kwa ujumla ni muhimu mno kuliko tim yoyote. Bila wao ni sawa sawa na ndondo cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…