mcshonde
Member
- Jul 15, 2022
- 66
- 154
Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo mnene waliouweka utawalipa. Kwa upande wa uarabuni ikitokea kuna kuchagua basi nasimama na Al Nassr