Kule Barcelona anacheza kipa au beki?huu ni ukweli unaouma ingawaje hamuondolei Messi hadhi yake the rest of the world isipokuwa huko kwao Argentina atabaki kuwa Second best to Maradona
Sijui ni ubure gani maana kafika Hadi fainal ya WC 2014ukweli utabaki pale pale Messi nje ya barcelona ni bure. hana maajabu yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa bhana, kwahiyo kufika finals ndio achievement kubwa sana unaona? yani ni sawa ni ile umepigwa ila unajitamba ulipambana?Sijui ni ubure gani maana kafika Hadi fainal ya WC 2014
Au ulikuwa bado haujazaliwa?
Wew utahangaika Sana kupata mme sister kwaiyo kufika fainal sio mafanikio?we jamaa bhana, kwahiyo kufika finals ndio achievement kubwa sana unaona? yani ni sawa ni ile umepigwa ila unajitamba ulipambana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo yule Mmoroko alishaifikisha Portugal hadi fainal ya kombe la dunia?Sijui ni ubure gani maana kafika Hadi fainal ya WC 2014
Au ulikuwa bado haujazaliwa?
Wewe Argentina timu mbovu tu. Haina mipango. Very poor Chemistry. Uwez mlaumu Messi. Mchezaji yeyote bora anaonekana kwenye timu bora (iliotengezwa vizuri.) we umeona beki ya Ajentina? Mbovu balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ukweli utabaki pale pale Messi nje ya barcelona ni bure. hana maajabu yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hawa jamaa hawajawahi pata Kocha sahihi.......anyway vipi jembe letu cr7?Wakuu jana Messi kaendelea kuonyesha kuwa bila Barcelona hawezi kushine baada ya timu yake ya Argentina kulambwa 3 kwa moja toka kwa wahuni wa Venezuela hii inaashiria kuwa messi ni kama wifi disvonnect him from barca hamna network hahahaj
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kabeba Euro na taifa lake,hafananishwi kwamafanikioKwahiyo unataka acheze peke yake na Adifensi peke yake? Kwanza mechi yenyewe ya kirafiki na ndiomaana wamechezesha makinda.
View attachment 1052007
tena nyumbani hapo 🤣🤣🤣🤣😁
Ko kufika final sio achievement? We ndo kweli. Mpira unachezwa as a team sio tennis hiyowe jamaa bhana, kwahiyo kufika finals ndio achievement kubwa sana unaona? yani ni sawa ni ile umepigwa ila unajitamba ulipambana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kabeba Euro na taifa lake,hafananishwi kwamafanikio
Hata kama alienda bila kucheza game yoyote uwepo wake tu unatoshaHivi alicheza dakika ngapi akaumia? Sio 16 minutes!!! Sasa hapo ni nani kaipatisha ubingwa portugal?