Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
Messi ni noma hata akija England. Tofauti ya ligi hizi ni: Spain-more technocal, Italy-more tactical, England-more physical. Hata hivyo Spain kuna timu kama Getafe na Espanyol ambazo ni very physical and intimidating kuliko hata timu za England na bado Messi anawapiga goli. waulizi Madrid majuzi, baada ya kuona mambo magumu wakaamua kuwa very physical na bado aliwafanya kitu mbaya sana!
England kuna timu moja tu inayocheza mpira wa aina ya Messi...
Sio lazima kucheza England kuwa mkali - mbona hawa hamkuwauliza: Ronaldinho, Zidane, Ronaldo wa Ukweli...
Messi njoo England angalau wiki tu . . .
Hao uliowataja kwa blue colour ukiwaangalia physically utaona wasingeweza kupata tabu sana kui-fit ligi ya England, na Ronaldo wa Ukweli ndo nani?? Unatumia vigezo vipi kusema huyo ndo Ronaldo wa ukweli??
Kwa physical game, timu za Spain ni nyanya sana, huwezi fananisha timu yoyote ya Spain kwa timu za England kwa physical game . . . na isitoshe Messi haonekani uwanjani mechi zote walizocheza Barca na Chelsea. R. Madrid haiwezi kucheza physical game wakati huo sio mpira wao, walikuwa wanajaribu tu kitu wasichokijua. Pengine Mourinho sasa ndo atajaribu kuwafundisha physical game, na itawachukua muda sana kuiweza. Messi hawezi kuonekana ukicheza 60% physical game plus 40% brain-Use game, hii inatokana na umbile lake pia. Anakipaji sawa hatukatai, ila ana mapungufu yake pia. Jaribu kuangalia game ya Argentina vs Ujeruman ktk WC 2010 au Chelsea vs Barcelona pale darajani ambapo ngoma iliisha 1 - 1 ndo utajua Messi unamkabaje
Kuna masuala ambayo hayana mjadala, Ronaldo wa kweli katika soka ni El Fenomeno...
Hata Ronaldo de Assis Moreira alilitambua hilo ndio maana akaitwa Ronaldinho Gaucho...
[SIZE=4 said:Jabulani: Aisee, kumbe na wewe upo England !
messi ni mchezaji aliyekamilika (complete player). Hana mapungufu. Hakabiki. Hazuiliki. Subiri akutane na timu yako ya man u.
Kwa nini Messi anaperform vizuri akicheza na XAVI/INIESTA/SERGIO akiwa kwao Argentina mchovu tofauti na kina Zidane,Ronaldo,KAKA &Ronaldinho?Messi ni mchezaji aliyekamilika (complete player). Hana mapungufu. Hakabiki. Hazuiliki. Subiri akutane na timu yako ya Man U.
heheheheheh, mi sio shetani bwana, MI Jogoo la Anfield