Mchezaji nguli wa Barcelona,Lionel Messi anaongoza kwa kipato kati ya wachezaji wote wa kandanda duniani.Hii ni kwa mujibu wa kipato cha mwaka mzima wa jana.Messi anafuatiwa na David Bekham na Cristiano Ronald😵rodha kamili ni kama ifuatavyo:
Kipato ( euros): 1: Lionel Messi, Barcelona (33m), 2: David Beckham, LA Galaxy (31.5m), 3: Cristiano Ronaldo, Real Madrid (29.2m), 4: Samuel Eto'o, Anzhi, (23.3m), 5: Wayne Rooney, Man United (20.6m), 6: Sergio Aguero, Man City (18.8m), 7: Yaya Toure, Man City (17.6m), 8: Fernando Torres, Chelsea (16.7m), Kaka, Real Madrid (15.5m), Philipp Lahm, Bayern Munich (14.3m).
Wapi Mrisho Ngassa na Felix Sunzu?