Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
King Messi
Anzisha huo uzi sio hapa. Nenda google au barca.com au FIFAHamna lolote !!
Kwanza nijue messi tangu ameanza mpira hadi sasa ana magoli mangapi
Hamna lolote !!
Kwanza nijue messi tangu ameanza mpira hadi sasa ana magoli mangapi
Kwanza inabidi ujue amecheza mechi ngapi Hadi Sasa ? Average yake ya goal kwa mechi ni ipi!Hamna lolote !!
Kwanza nijue messi tangu ameanza mpira hadi sasa ana magoli mangapi
Dah...sijui nimeeleweka...Kwanza inabidi ujue amecheza mechi ngapi Hadi Sasa ? Average yake ya goal kwa mechi ni ipi!
Ko unataka umfananishe Messi na Ronaldo kufunga magoli mengi?Dah...sijui nimeeleweka...
Nataka kujua magoli aise sitaki stori mingi
Tushajua Cristiano Ronaldo ana goli 700 ..tunataka kujua messi
Stori mingi... jibu la swali halionekani...Ko unataka umfananishe Messi na Ronaldo kufunga magoli mengi?
Ronaldo amecheza mechi nyingi kuliko messi, ko utakua hujamtendea haki Messi, labda ka ushabiki wa timu Ronaldo na timu Messi.
Ni vyema tuone mwisho wao wa kucheza soka ndo tuje tuangalie record zao za magoli na zingine.
oya jaman mbn huyu team ronaldo anataka atushike masikio anaxema ronaldo kamzd mess mech 46.........labda mm cjui hesabu tusaidiane hapa 974--828=146 mbn anataka kufcha ukwelStori mingi... jibu la swali halionekani...
Wavivu wa kufanya research... Messi has 672 goals in his career na mechi 828, wakati Mnyama Ronaldo ana goli CR700 na mechi 974
Yani ka difference ka mechi 46 ndio mnaona difference kubwa sana hadi mumtetee kwamba eti hajacheza mechi nyingi ? [emoji16][emoji3]
Hapo Messi ana kazi ya ziada ya kufunga magoli 28 kumfikia Mnyama Ronaldo, hapo ahakikishe kwa kila mechi zinazokuja awe na goli sio chini ya goli 1, na sio kwamba Mnyama Ronaldo atakua kalala..atakua anatupia na yeye [emoji2]
Nenda kajifunze hesabu za kutoa na kujumlisha kwanza ndio uje kutetea hoja yako.Stori mingi... jibu la swali halionekani...
Wavivu wa kufanya research... Messi has 672 goals in his career na mechi 828, wakati Mnyama Ronaldo ana goli CR700 na mechi 974
Yani ka difference ka mechi 46 ndio mnaona difference kubwa sana hadi mumtetee kwamba eti hajacheza mechi nyingi ? [emoji16][emoji3]
Hapo Messi ana kazi ya ziada ya kufunga magoli 28 kumfikia Mnyama Ronaldo, hapo ahakikishe kwa kila mechi zinazokuja awe na goli sio chini ya goli 1, na sio kwamba Mnyama Ronaldo atakua kalala..atakua anatupia na yeye [emoji2]
yani mechi 146 unaona kidogoStori mingi... jibu la swali halionekani...
Wavivu wa kufanya research... Messi has 672 goals in his career na mechi 828, wakati Mnyama Ronaldo ana goli CR700 na mechi 974
Yani ka difference ka mechi 146 ndio mnaona difference kubwa sana hadi mumtetee kwamba eti hajacheza mechi nyingi ? [emoji16][emoji3]
Hapo Messi ana kazi ya ziada ya kufunga magoli 28 kumfikia Mnyama Ronaldo, hapo ahakikishe kwa kila mechi zinazokuja awe na goli sio chini ya goli 1, na sio kwamba Mnyama Ronaldo atakua kalala..atakua anatupia na yeye [emoji2]
Nenda kajifunze hesabu za kutoa na kujumlisha kwanza ndio uje kutetea hoja yako.
Kwa utofauti wa goli 28 na mech 146, kawaida sanaa kwa Mess kumfikia Ronaldo.
Point ya msingi ni kiatu cha dhahabu, Messi kapata mara 6 while Ronaldo mara 4 kwa tofauti ya mechi 146.
Messi anatisha sana hapo japo unaweza usinieleweHamna lolote !!