Messi: Thubutu Nisiwafunge Chelsea kwani nimelogwa? Nawasubiria hata Nou Camp machinjioni

Juzi na jana kabla ya mechi mlisema Chelsea atachezea tatu sijui dozen. Baada ya mechi mmekuja na jingine tena.....
na sasa hawataki mtu aweke uwezekano wa chelsea kushinda huko barcelona,hawaangalii mzani wa kimpira.chelsea sio ndanda fc
 
Uzur wa Messi huwa hana nyodo, shombo na majivuno kama "bwana yule".
 
Uzur wa Messi huwa hana nyodo, shombo na majivuno kama "bwana yule".

Umeonaa...jamaa anakupiga then anatulia kimyaa,, baada ya hapo yanaanza kutiririka kama mvua...huyu ndiye magician or the king Messi. Mchezaji bora kuwahi kuotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…