Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi kacheza mechi 17 chache zaidi na ana umri mdogo kushinda cr7 lakini ana magoli sawa na cr7 wote 69 huku cr7 akiwa na penalty robo ya magoli yake. Sasa hapo utaona nani mkali
 
kwa mungu wanakwepa kodi.mungu mshaona kitu cha kawaida sana
 
Lionell mess n bora zaidi ya ronaldo mess atabaki kuwa juu miaka yoote na atavunja record zooote mess is great than ronaldo
 
Messi anaweza kucheza kama playmaker, yani mid, kwa skills aluzokuwa nazo kitu ambacho cr7 hajawahi kuthubutu , na hana skills hizo, yeye ni mbio na mashuti tu

Mjomba, sisi tunaojua soka tunasema mpira magoli, hayo mambo mengine sijui nani anajua kurembua kuliko mwenzake peleka kwenye Bongo movie. Mpaka mechi ya jumamosi 25/10/2014 ukweli umejulikana, cheki hapo chini, au kama lugha itakugonga tutakutfsilia

Años = years
Goles = goals​
 
Upo Sahihi Mkuu RONALDO MODEL SIO FOOTBALLER
 
Upo Sahihi Mkuu RONALDO MODEL SIO FOOTBALLER

​Sasa umeni-quoete nini hapo? Kusoma hujui hata picha huoni, Messi kacheza la liga miaka 10 kafunga magoli 250, wakati Ronaldo miaka 5 tu anaribia magoli 200. Au wewe ndio wale wale kina bishana mpaka ufe?
 
Cristiano Ronaldo! Mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea kwenye Historia ya mchezo wa Soka
 
​Sasa umeni-quoete nini hapo? Kusoma hujui hata picha huoni, Messi kacheza la liga miaka 10 kafunga magoli 250, wakati Ronaldo miaka 5 tu anaribia magoli 200. Au wewe ndio wale wale kina bishana mpaka ufe?

sasa una hakika gani kama ronaldo akifikisha miaka kumi atafikia magoli 250 acha uchuro

then why umechukua rekodi moja tu
 
kapate supu mkuu

umesahau ronaldo ni mkubwa kwa messi kwa miaka miwili halafu ronaldo kafichwa kwenye kila kitu
ha ha ha ha ha ha

ant-messi
 
sasa una hakika gani kama ronaldo akifikisha miaka kumi atafikia magoli 250 acha uchuro

then why umechukua rekodi moja tu
wewe unajua hesabu kweli? miaka CR7aliyocheza Man U alifunga magoli mangapi? kisha jumlisha na ya la liga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…