Mkuu kupingana na ukweli kuwa messi ni zaidi ya ronaldo ni sawa na kupinga kuwa Tundu lisu ni zaidi ya lusinde, ki uelewa!!!Mmoja ana mechi chache lakini ana magoli mengi, mwingine ana mechi nyingi lakini magoli machache! Katika historia ya la liga Ronaldo ni mchezaji mwenye kasi kubwa ya kufumania nyavu wa muda wote! Hawakukosea kumchagua kuwa mwanasoka bora wa dunia! Kiatu cha dhahabu kinamsubiri mwenzake itabidi asubuhi sana!
Daaah Hawa watu wanaoamkia kuangalia matokeo kwenye magazeti utawajua tu .. Kama mnapenda soka jaribu hata kuchek mechi basi mambo mengine tunapoteezeana mda !
kwa taarifa yako ninamiliki king'amuzi cha dstv na mechi zote natazama sebuleni kwangu! Naangalia mechi live, kisha naangalia replay kwa zaidi ya mara mbili. Muda mfupi uliopita nimemshuhudia Ronaldo akifunga hat trick ya saba msimu huu! Ana magoli 45! Messi nimemtazama akiambulia goli moja! Messi ajiandae kumshangilia CR7 akibeba kiatu cha dhahabu!

Kwa maandishi haya, nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako!
Certified insane! Lol!
Acha ushabiki mkubwa toka kwenye ako kajela upate uhuru wa kufurahia soka..inachukua miaka mingi sana Dunia kupata watu wa kariba ya messi, umepata nafasi usijinyongee..wewe furahia rhythim ya soka ya Messiah wa soka..Messi!
CR7 nampa pongezi inataka ujasiri mkubwa kujaribu kupambana na Messi..
Kwa Ushauri nenda kamuone Doctor wa akili
Titizo kubwa la CR7 ni kupambana na Messi wakati huo Messi hapambani na CR7. Ni vigumu sana kushindana na mtu ambaye yeye hana mpango. Ninacho amini CR7 atawahi kuchoka/kustaafu kuliko Messi kwa kuwa CR7 ni mkubwa kiumri. Pia CR7 akianza kuchoka Madrid watamtema faster kwakua wale ni wafanya biashara wakubwa na wanaanza kutafuta mchezaji ambae yupo hot kwenye possition ya CR7 pia Messi pale Barca naamini ndio mpira wake utaishia pale kama Puyol na Xavi ilivyo kitu ambacho kitasababisha Messi amalize record zote pale.
Messi hajawahi kufunga timu anayo-coach Jose Mourinho?
Messi hajawahi kumfunga chelsea hata goli moja!