kwani huyo ronaldo ni jinsia gani mpaka useme messi ni kitinda mimba wa ronaldo??Messi ni kama kitinda mimba wa Ronaldo
Gaucho bwana hatuji kumpata mtu wa hivyo tena. Mungu kuna sehemu aliwekeza akazidisha, kuuchezea na kuutuma mpira kama shilingi mkononi inahitaji hekima za Muumba. Heshima kwa Dhino!
sasa Ronaldinho huwa tuna muitaMjadala ulishafungwa, 1. Dinho 2. CR7 3. Messi 4. Waliobaki( zidane, platini, maradona, cryuff)
Haaah watu kweli hawajui mpira,,hivi dinyo ana nini chakumzidi MessiMjadala ulishafungwa, 1. Dinho 2. CR7 3. Messi 4. Waliobaki( zidane, platini, maradona, cryuff)
Leo mjomba pale bernabeu kama kafunikwa ivii....lakini huyu mzee ronaldo lazima akalipe kisasi pale NOU CAMP maana ndo anapapendaga palee.