Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Xavi na iniesta wanaheshimika sana barca kuliko hata huyo dinho

Soon watakuja kukupinga, tena bila ushahidi wowote na ukiwaomba wakuletee wanakujibu "Gaucho namba ingine ile, ana madoido mengi" na ukiwaomba alipo top 10 hawakuletei,, wanajuwa hana kitu basi ni kujifariji tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ huwa nabaki kucheka aise,,,mkuu yaani imefikia huyo mauno/gaucho anafananishwa eti na Mfalme wa mpira/Messi kuwahi kutokea katika uso wa dunia πŸ˜€πŸ˜€ yani hizi ni dharau kabisa...ni kama uwalinganishe tembo na sisimizi ni yupi mkubwa...yani TEMBO NI MFALME NA SISIMIZI NI GAUCHO
 
Wakibisha achana nao
Gaucho ni mchezaji wa kawaida sana kwa barca tatizo watu wanaangalia malingi anayopiga
Wakigoma kbs ntawaletea top 10
 
Mara nyingi wanaosema gaucho bora kuliko mess hawajamuona gaucho zama zake
 
Hakuna bora hapo. Bora ni kula na kufanya ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…