Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

CR7 is way a better player than LM.

CR7 can play in a lot different positions in a team and even defense, for example the semi final 2007/2008 ManU vs Uefalona CR7 played liked a defensive left midfielder, but LM can't help much in the defense, for example in the WC2010 quarter final Argentina vs Germany they were humiliated by the Germany 4-0 he didn't track back well.

CR7 can shoot well with his left but LM can't do it well with his right

CR7 has proven himself in the EPL and La liga but LM has done it in La liga only

In international level Portugal with CR7 have reached semis of continental cups but Argentina with LM were knocked out in their home turf in copa america in early stages. This means he LM is over reliant to Biscut, Xavi, Iniesta and co. for him to perform well.

CR7 is a good leader in a pitch compared to LM

CR7 is tactically aware than LM

But CR7 has very big ego, he simulates a lot, he likes to be the centre of attention, he is selfish, he likes showoffs in public. LM has no big ego, down to earth person, not quite selfish and a better person and not arrogant like LM.

CR7 doesn't use HGH but LM still uses HGH(Human Growth Hormone)

At the time of Rijkaard LM was very injury prone that the Uefalona directors decided to provide him a special diet specialist, special training staff just for him
 
kwa hiyo madawa ndiyo yamemfundisha messi kupiga chenga,kutoa mapande na kufunga mabao kama hana akili nzuri?
Katika baadhi ya nchi kutumia HGH ni kosa kama kutumia steroids nyinginezo. Lakini imekuwa vizuri kwa LM kutibiwa alivyokuwa mdogo hivyo sasa hivi anaweza kutoa burudani kwa wapenda soka. Kuweza kuonesha kipaji uwanjani physicality ya mchezaji ni jambo muhimu sana. LM ana balance kubwa sana ya mwili wake na suppleness pia. Kwa hiyo kama asingepata tiba asingeweza kuonesha uwezo wake uwanjani. Kuna wachezaji wengi wazuri hata hapa kwetu Tanzania ambao wameshindwa kucheza na kuonesha uwezo wao kwa sababu walikosa tiba walipokuwa wadogo na miongon mwa tiba hizo ni HGH.
 

acha kuchanganya ukweli na uongo, wachezaji wetu unaowaongelea walikosa lishe bora - hicho sicho alichokosa messi, tatizo lake lilikuwa ni la kuzaliwa hivyo hiyo tiba ilikuwa sawa kabisa; hebu soma tena historia yake ya kina hapa:ESPN - OTL: Lionel Messi, Here & Gone - E-ticket ; kwa kuwa wengi tuna uvivu wa kusoma historia ndefu nakuwekea dondoo inayohusika zaidi hapa chini:

When Messi was 9, he stopped growing. Doctors discovered a hormone deficiency and put him on a regimen of daily injections, which he gave himself, carrying around a little cooler when he went to play with friends.
"Will I grow?" a teary Messi asked.
"You will be taller than Maradona," his doctor, Diego Schwarsztein, told him. "I don't know if you will be better, but you will be taller."
 
CR7 ni bora kulko mess kwanz kaweza kucheza kwa kiwango cha juu katka ligi mbili kubwa nadhani tungepata nafc y kumuona mess ktk EPL tungejua, kwa swala la mech kubwa waulizen BARCA ingaw kwa timu za taifa wote n sawa ingawaje kwa macho Argentna n wzr kulko Ureno kwa ufupi without XAV,INIESTA thr is no MESS but CR7 Anaweza kucmm km one man army. NI MTAZAMO TU
 
Hizo hapo juu ni hadithi tu, Messi anafunga sasa ktk kila mechi ambayo Argentina imecheza hivi karibuni, kule hakuna Xavi wala Iniesta, na pia anasaidia kupatikana magoli ya Argentina.
Pale Barca takwimu zipo wazi tu; ni Lionel Messi ambaye amesaidia upatikanaji magoli mengi na anaongoza kwa kufunga magoli mpaka sasa. Dani alves ndiye mchezaji aliyetoa assists nyingi kwa Messi kuliko Xavi na iniesta msimu uliopita, na mpaka raundi ya 6 ya ligi na mechi 2 za UCL Christian Tello katoa assists nyingi kwa Messi kuliko xavi na Iniesta. So hayo mambo ya zamani yafike mwisho hata kama hutaki kumkubali mwanasoka bora wa dunia kwa sasa(Lionel Andres Messi)
 

Kaka,sijazungumzia nani anampa assist Messi,i know Dani Alves ni mmoja wa watu waliotoa assist nyingi kwa Messi.Nazungumzia hii backbone(Busquet,Iniesta na Xavi) ndio imeisadia sana dominance ya Barca kwa kutawala kiungo na possesion kwa ujumla.Then unamzungumzia Tello ambae sidhani hata kacheza mechi 40 kulinganisha na kina XAVI na INIESTA.Kuhusu Argentina mwenyewe umekiri kwamba ameanza kufanya vizuri kwa sasa tena hizi game za qualification za WC but alifanya nini kwenye WC 2006,WC 2010 au Copa America?.Then nakushangaa unaposema simkubali while kwenye maoni yake nimekubali kuwa Messi ni zaidi ya Ronaldo.
 
Nakubaliana na wewe kuhusu backbone ya Barca kwa hao midfielders watatu, hii ni kwa timu nyingi tu za soka zinakuwa na wachezaji wa namna hiyo, lakini kikubwa ni team work, individual skill pia ni added advantage kwa mchezaji.
Kuhusu Tello ninamaanisha katika msimu huu, yaani mechi 12 ambazo wamecheza pamona.
Kuhusu wc 06 Jose Perkaman, kocha wa Argentina mpaka sasa analaumiwa kila kona nchini kwao kwa kutompa muda wa kutosha, aliingia sub ktk mechi moja akafunga na kuwa mchezaji mdogo wa Argentina kufunga goli kwenye wc,alikuwa na miaka 19 na siku 122 tu. So kama angepewa more minutes huenda angeibuka na rekodi binafsi.

Wc 2010, timu nzima ilikuwa off form bila kusahau uwezo wa kocha pia.
 
Wana jf naomba mnisaidie kujua na ronaldo mesi wana magoli mangapi msimu huu kwenye ligi zote walizoshiriki?
 
Wana jf naomba mnisaidie kujua na ronaldo mesi wana magoli mangapi msimu huu kwenye ligi zote walizoshiriki?

Google utajua wana magoli mangapi
 
Nimegugo lakini kupata msimamo wa magoli kwa la liga imenizingua
 
nenda wikipedia

ukiweka majina yao wasechi utaona habari zao na tebo ya magoli.
 
Mpaka sasa Messi ana magoli 52 jumla ya mechi zote official alizocheza tangu tuanze msimu huu. Ameassist magoli 11, winning goals 4 hizi za la liga tu.
cr7 anamagoli 40, assist 5, no winning goals.
Nani mkali sasa hadi hapa. Source goal.com
 
Mpaka sasa Messi ana magoli 52 jumla ya mechi zote official alizocheza tangu tuanze msimu huu. Ameassist magoli 11, winning goals 4 hizi za la liga tu.
cr7 anamagoli 40, assist 5, no winning goals.
Nani mkali sasa hadi hapa. Source goal.com


Na magoli ya penati ambayo hukabwi hako kambilikimo kanayo mengi...
 
Ronaldo scores everywhere.... Even against his keeper
Hapo umenenna hata ya kujifunga Ronaldo hana mpinzani
zaidi nimekuja kurindima habari hizi,Ikicheza huko umangani Qatar jijini Doha mabingwa wa soka ulimwenguni,dunia,ulaya nk Spain wamewachapa mabingwa wa copa america Uruguay na kina Suarez na Forlan wakibaki wanajishikia viuno huku waarab wakiburudika na soka safi lililochezwa na namba 1 wa soka dunia Spain,viva Spain,glacies Fabrega en Pedro(3-1 Pedro mawili na Cesc 1)
Spain vs Uruguay 3-1 All Goals & Full Highlights HQ 06/02/2013 - YouTube
angalieni viuriz na tackling safi iliyofanywa na Sergio Busquets ikazalisha bao la pili lililofungwa na Pedro sambamba na pasi safi pale kati kwa bao la kwanza lililofungwa na Fabregas kiasi kipa kuona kiluweluwe,na gonga safi ya wana Barca David Villa,Cesc na kumpa Pedro kufunga bao la 3 la ushindi na kuwamaliza kabisa vijana wa Oscar Tabarez wazee wa Montevideo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…