Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kijana anafanya kazi ya mawinga,straika,attacking midfielder na nyinginezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo tumefungwa lakini chenga twawala ati yakhe! Uchambuzi mzuri sema mashabiki wanaangalia ametikisa nyavu mara ngapi?
Dunia iliumbwa na itaisha. Lakini isingeweza bila ya kuja Messi kuihudumia idara ya soka uwanjani, sio saloon wala ma-game au chupi na boxer, Yaan Messi ni wa uwanjani tu.
Dunia hii mtu ambaye hamkubali Messi ( Though kila mtu ana uhuru wa kuchagua ) nadhani kuna haja ya kuacha kushabikia football ahamie hata kwenye mieleka