Messi

Japo tumefungwa lakini chenga twawala ati yakhe! Uchambuzi mzuri sema mashabiki wanaangalia ametikisa nyavu mara ngapi?
 
Dunia iliumbwa na itaisha. Lakini isingeweza bila ya kuja Messi kuihudumia idara ya soka uwanjani, sio saloon wala ma-game au chupi na boxer, Yaan Messi ni wa uwanjani tu.
 
Dunia hii mtu ambaye hamkubali Messi ( Though kila mtu ana uhuru wa kuchagua ) nadhani kuna haja ya kuacha kushabikia football ahamie hata kwenye mieleka
 
Kiukweli inabid ifike muda tumpe heshima yake messi anafunga, anatengeneza nafasi za kufunga, anapiga pasi za mwisho zinazozalisha magoli nyingi katika historia ya laliga
 
Most successful dribbles in La Liga 17/18: Messi 74 J. Viera 34 Isco 33 Cartabia 29 Januzaj 26 Carrasco 26 Guedes 24 Saul 24
 
hata ballon d or ya mwaka huu angetakiwa apewe MESSi,lakini fitina zilizopo utaona atapewa salah au CR7
 
Messi ni Wazimu sema yeye yupo kama hayupo ila shughuli yake iko kwenye kuchoma moto nyavu haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…