Whatsapp ni platform yao pia so unakuwa unarudi pale paleHata wakifuta tayari tumeipakua na tutaisambaza tena na tena wahatsup
Yericco anasemajeYetu macho
Huwa inawaongezea au inawafaa nini kutazama picha au video za watu mashuhuri au maarufu wakiwa wanatiana au wakiwa faragha?Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Mchafu anachafuliwajeNina kina nani hao wako nyuma ya pazia kumchafua waziri mkuu?
Dr Emanuel NchimbiNina kina nani hao wako nyuma ya pazia kumchafua waziri mkuu?
Wamezifuta na wakasema sio video halisi kamanda.Hilda Newton ametuingiza chaka aiseeMeta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao