Meta wafuta video ya utupu na kukoroma mitandaoni

Ila bado hujaeleweka:

Kwa hiyo unasema Meta wamefuta kwa vile hizo video zilikuwa ni HALISI.
Kwani zingekuwa ni za kutengeneza kwa kutumia Akili Unde hizo video wangeziacha ziendelee kuwepo kwenye mitandao yao?

Meta kufuta au kutofuta ni swala la kibiashara tu. Hawa wapo hapa Tanzania, kwa sababu wanafanya biashara kwa masharti wanayopewa na wanaowaruhusu kuwepo biashara zao hapa.
Kwa hiyo ni swala la kupewa maelekezo tu; ONDOA hizo video, la sivyo biashara yako hapa inaharibika. It's as simple as that!
Usiweke tafsiri isiyoendana kabisa na swala lenyewe.
 
Hivi hamna namna nikawa shahidi wa jamhuri wamfungulie kesi jamaa kwa nia ya kusababisha ubakaji? Nimetazama video yake nikachocheka kubaka! Yan tufanye kama kwa wale mashahidi wa jamhuri dhidi ya Lissu waliotazama video wakahamasika kukinukisha.
 
Duh
Kuna video ya Waziri Mkuu akiwa anakoroma?
 
Ila Mh anachoka sana... Akipumzika amepumzika haswa...🥹
 
Nina kina nani hao wako nyuma ya pazia kumchafua waziri mkuu?
Mkuu uko wapi mwenzetu?
Aliye nyuma ya hii movie ni Abdul mwenyewe pamoja na mamayake , kumbuka ameambiwa akikataa kujiuzulu itavujishwa na clip yote ya dakika 12
 
Meta walishakua wanasikiliza maoni ya majambazi ya CCM ndio maana hata account za Mange na akina Maria na walikubali hata kushusha post zenye evidence za ufisadi.

Mtandao uliobaki umegoma kuwasikiliza mafisadi ni Twitter /X ndio maana watu wanalazimika kutumia VPN na kule X hiyo video bado ipo hawawezi kuishusha maana kule watoa freedom of speech.
 
Yaani anakoroma kabisa? Kwani hakusoma ule Uzi wa secretarybird, wa jinsi ya kufanya mtu asikorome akilala? Mwambieni uzi wenyewe ni huu hapa 👇
 
je wakibisha na wakafungiwa ku operate tanzania si itaonekana nchi ya kijima kukosa mitandao mikubwa kama ile duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…