Meta wafuta video ya utupu na kukoroma mitandaoni

Kichwa cha habari unasema video za PM akiwa utupu na anakoroma halafu kwenye maelezo unasema video hazina shida kwa sababu PM amelala na anakoroma. Which is which?
 
Huwa inawaongezea au inawafaa nini kutazama picha au video za watu mashuhuri au maarufu wakiwa wanatiana au wakiwa faragha?
Mimi huwa najiuliza hilo swali, siyo tu kwa watu mashuhuri au maarufu but WHY watu huwa wanaangalia vitu kama hivyo?
 
 
X je wao watahongwa lini ili waifute?
 
Kale kavideo feki kalianzia kwa mwanaharakati na kiongozi wa CHADEMA. Mange anawaambia waache kutumika kwa maslahi ya wengine, kwa lugha rahisi, waache kununulika kirahisi.
 
Kimoko tu chaliii
 
Atoke hadharani akanushe
Na aseme kuwa anachafuliwa, lakini Kwa cheo chake kukaa kimya inatia shaka mno
Akanushe nini sasa kwamba hajalala au hajakoroma kipi kibaya pale kulala au kukoroma?
 
ukiona hadi wameomba ifutwe ujue ni kweli yule atakuwa ni Madilu System Chamber Squad,kama ni uzushi si angeipuuza tu na maisha yangeendelea,ngoja nikaitafute aisee
 
Wapigania Tundu Lissu
Kwasasa wameamia kupigania Connection ya AI
yatajichekesha mwanzo mwisho!!

Wanoadai kupigania Demokrasia na Lissu!!

Kumbe wanafanya ivyo kukikosekana kitu chengine chenye muhimu !!
Kwasasa chenye muhimu Connection Fake ya AI 😛
 
Kuna nini huko dar
 
Kale kavideo feki kalianzia kwa mwanaharakati na kiongozi wa CHADEMA. Mange anawaambia waache kutumika kwa maslahi ya wengine, kwa lugha rahisi, waache kununulika kirahisi.
Hilda Newton sio mwanaharakati. Ni mpuuzi mmoja aliyechagua aina hiyo ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…