Mkuu 'LOTH HEMA', elewa hizi ni biashara zenye ushindani ndani yake; na kwa uhakika, ni zaidi ya biashara kadri mambo yanavyozidi kujifunua. Humu kuna ushindani wa kiitikadi nao umeingia kwa kasi kubwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele.je wakibisha na wakafungiwa ku operate tanzania si itaonekana nchi ya kijima kukosa mitandao mikubwa kama ile duniani?
π π π πIla Mh anachoka sana... Akipumzika amepumzika haswa...π₯Ή
Hakuna burudani zaidi ya masikitiko.Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Ukiangalia ile video au sijui picha, unaona tumbo kubwa kama puto hata yule kepten wa kwaya hakuwa na tumbo kama lile.Hilda Newton sio mwanaharakati. Ni mpuuzi mmoja aliyechagua aina hiyo ya maisha.
Jaman mbona mi sijaionaMeta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao