Metacha Mnata afukuzwa kambini Shinyanga kwa utovu wa nidhamu

Metacha Mnata afukuzwa kambini Shinyanga kwa utovu wa nidhamu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Habari kama hizi makanjanja huwa wanazikaushia hapo lazima uwasifu mafioso wa utopoloni kwa jinsi walivyoweza kulifanikisha hilo.

Hao jamaa ni bora wa discuss tweets za Mo Dewji kwa lisaa limoja kuliko vurugu za Lamine Moro kule Kigamboni, wachezaji kugomea mazoezi magumu kabla ya mechi waliyokimbia taifa..blah blah blah.

Sasa kimenuka Shinyanga huko na uzuri mpashaji habari ni mwana jf mwenzetu anaitwa Muddy Kabwe.


metacha mlevi.PNG
 
Ukiona hawafuatiliwi na waandishi Wala usitie shaka sababu ni kuwa ni level yao hayo mambo ya ovyo ovyo. Ni kama mlevi anayejulikana kupepesuka sio habari, habari ni kumuona mlokole anatoka guest house! Kwa Hiyo waandishi wanatusaidia sana simba kutuweka kwenye standard hiyo ni nzuri sana kwetu.
 
Metacha kamtukana naskia yule tapeli video vixen
 
Huyo Mudy Kabwe ni njaa zake zinamsumbua,tangu wakina Nyika walipoondolewa Yanga yeye amekuwa mtu wa kupika majungu,uzushi na uchonganishi sababu tuu mrija wa kula umekatwa.
 
Alilewa kupita kiasi"timu inamiliki wachezaji walevi mbwaaaaaa.
 
Huyu aondoke tu hiyo timu. Ni kama anatafuta sababu,ama yanga wanamtafutia sababu.
 
Mpira bila nidhamu haiwezekani kabisa,
Nidhamu ndio kila kitu.
Kwahiyo kama hata Kocha wake wa Makipa Razak Siwa ana tabia za ' Kimombasa ' na kataka ' Kummombasa ' Metacha Mnata ili awe anamshawishi Kocha Nabi awe anampanga Yeye akubali tu? Wewe ungekubali ' Kumombasiwa ' Mkuu?
 
Kwahiyo kama hata Kocha wake wa Makipa Razak Siwa ana tabia za ' Kimombasa ' na kataka ' Kummombasa ' Metacha Mnata ili awe anamshawishi Kocha Nabi awe anampanga Yeye akubali tu? Wewe ungekubali ' Kumombasiwa ' Mkuu?
Thd inasema kosa ni "Kulewa kupita kiasi na kutukana wenzake"

Hayo uliyo yaandika hapo mimi siyafahamu,nimechangia mada kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom