Metacha Mnata kamaliza lini adhabu ya kadi Nyekundu?

Metacha Mnata kamaliza lini adhabu ya kadi Nyekundu?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
ufafanuzi tafadhali

Leo hii Metacha anaanzishwa kwenye kikosi dhidi ya Namungo licha ya kwamba alipewa redcard mechi ya prisons, huku sio kukiuka sheria za mpira, au kulikuwa na msamaha?
 
ufafanuzi tafadhali

Leo hii Msheri anaanzishwa kwenye kikosi dhidi ya Namungo licha ya kwamba alipewa redcard mechi ya prisons, huku sio kukiuka sheria za mpira, au kulikuwa na msamaha ?
Usi'login jf ukiwa umelewa
 
Alipewa nyekundu mechi vs Prisons

1) hakucheza mechi ilofuata ya ligi kmc

2) hakucheza vs Polisi FA

3) mechi dhidi ya Jkt TANZANIA iliahirishwa.

Kwani ilikuwa ni straight red card? Na hachezi mechi ngapi kwa bongo?
 
Kuuliza si ujinga,!

Saa zingine mnatuchosha bure, muwe mnaingia mtandaoni kutafuta kinacho kutatiza kabla ya kuja jf kuuliza.

Soma hiyo kanuni ya ligi kuu 2023

Screenshot_20240308_203901_Adobe Acrobat.jpg
 
Back
Top Bottom