Unapopata malaria tena tafadhali nitafute. Ipo dawa namba one na ni bei rahisi mno. Hutajutia.
Alishafariki, Huoni RIP kwenye profile yake
Akikujibu nitag.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu, share nasi hapa hiyo dawa ya Malaria. Utakuwa umesaidia wengi.
-Kaveli-