Meter Separation ya umeme inauzwaje? Je, kuna terms zozote?

Blessed66

New Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Naomba msaada wa kujulishwa, bei ya kifaa cha umeme "Meter Separation" kwa sasa, na je, kina terms zozote? na kinapatikana TANESCO au maduka ya umeme?
 
Na-assume sasa na Corona hii kinafika around 30/35K,nilikinunua mara ya mwisho 2017 25K.

Kinauzwa maduka ya umeme nenda Kariakoo Gerezani vipo chungu mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
25,000/= nenda K/koo ukinuna nistue nije kukufungia utanilipa 20,000/= kila kimoja,kama vipo vingi tutaelewana.
 
Naomba msaada wa kujulishwa, bei ya kifaa cha umeme "Meter Separation" kwa sasa, na je, kina terms zozote? na kinapatikana TANESCO au maduka ya umeme?
Meter separation sio kifaa bali ni mita ya pili ili kutenganisha matumizi ya eneo moja na lingine.Gharama za kufungiwa ni sawa na mita ya kwanza.

Aidha swali lako linaonyesha unahitaji kimita cha kusomea matumizi ya kuka mpangaji au mtumiaji wa nyunba husika hivi vinapatikana kwenye maduka ya vifaa vya umeme kw bei walizopanga wao na anafunga fundi wako wa umeme baada ya mita hivyo havihusiani na TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya hiyo mita ya pili ya TANESCO na mita inayouzwa maduka ya vifaa vya umeme ni nini?
Meter separation sio kifaa bali ni mita ya pili ili kutenganisha matumizi ya eneo moja na lingine.Gharama za kufungiwa ni sawa na mita ya kwanza.

Aidha swali lako linaonyesha unahitaji kimita cha kusomea matumizi ya kuka mpangaji au mtumiaji wa nyunba husika hivi vinapatikana kwenye maduka ya vifaa vya umeme kw bei walizopanga wao na anafunga fundi wako wa umeme baada ya mita hivyo havihusiani na TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meter separation sio kifaa bali ni mita ya pili ili kutenganisha matumizi ya eneo moja na lingine.Gharama za kufungiwa ni sawa na mita ya kwanza.

Aidha swali lako linaonyesha unahitaji kimita cha kusomea matumizi ya kuka mpangaji au mtumiaji wa nyunba husika hivi vinapatikana kwenye maduka ya vifaa vya umeme kw bei walizopanga wao na anafunga fundi wako wa umeme baada ya mita hivyo havihusiani na TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app

Swali langu kwenu Tanesco: Natambua mnafahamu changamoto tunazopata wapangaji kwenye kuchangia LUKU, wapo baadhi ya wapangaji wakorofi, wenye matumizi makubwa ya umeme lakini wananunua LUKU kiasi kidogo. Je upo uwezekano siku za mbeleni mkabuni "Mita Maalum" yenye njia zaidi ya moja ili hizi mita separation ziwe zinachukua umeme kwenye hiyo "Mita Maalum" ya njia nyingi, kisha mtumiaji ajinunulie Luku. ( hizo separation mita ziwe kwenye mfumo "system " hata mpangaji akihama aweze kuhama na separation mita, mradi huko anapokwenda kuwe na "Mita Maalum" yenye njia nyingi)
 
Back
Top Bottom