METHALI:Penye udhia penyeza rupia ina maana gani

METHALI:Penye udhia penyeza rupia ina maana gani

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari zenu wanajamii forum
Ile methali ya PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA hivi ina maana gani.Naombeni msaada
 
Inazungumzia mambo ya rushwa,ila sa sijui hawa wazee waliwaza nini maana kama walihamasisha rushwa vile.
ila ngoja wajuzi waje.
 
Inaweza kua na maana mingi kama ilivyo utajiri wa lugha.

Mimi pia siko mbali nanyi lakini pia inaweza kua na maana jiongezee katika mambo unayoyafanya.
 
Lipumba, Slaa, Mkumbo, Mtulia hii ni mifano halisi ya huo usemi
 
Ni Methali inayohamasisha rushwa , kwamba jambo lako likichelewa wewe toa rushwa lifanyike fasta, baadhi ya methali za wazee zilikua za kihayawani kwa mfano mficha uchi hazai ilikua inahamasisha umalaya kwa wanawake kwamba wakiombwa watoe tu , au watembee nusu uchi ili watamaniwe!!! laana tupu!!
 
Sawa msumeno ila hii misemo ilikuwa inaundwa vipi maana ukiwaza sana unakutana na utata
 
Penye nia pana njia"

Maana nyingine <[Ongeza juhudi kwa lile likupalo faida.
 
Back
Top Bottom