Ni Methali inayohamasisha rushwa , kwamba jambo lako likichelewa wewe toa rushwa lifanyike fasta, baadhi ya methali za wazee zilikua za kihayawani kwa mfano mficha uchi hazai ilikua inahamasisha umalaya kwa wanawake kwamba wakiombwa watoe tu , au watembee nusu uchi ili watamaniwe!!! laana tupu!!