Methali za kizazi kipya

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
1.Asiye funzwa na mamake ufunzwa na sugarmamy

2.Mchagua jembe ajajua umuhimu wa tractor

3.mpende akupendae asiye kupenda mhonge

4.Ukisitaajabu ya musa hujayaona ya mchina

5.Masikin akipata kuna mahali tajiri ameibiwa

6.Ukiona vyaelea ujue vilitupwa baharini

Nawew weka yako
 
kisumapai unaweza kunyoosha Kiswahili kwanza?
● Ufunzwa = Hufunzwa
● Ajajua = Hajajua
 
Last edited by a moderator:
Asanthe mkuu
 
kulea mimba si kazi kazi kumkamata aliekupa
Masikini haokoti akiokota labda vocha?
Mchagua nazi hununua ya kopo
Usicheze na Simba , kama Tambwe yupo
 

Haha
Mchagua jembe huyo atakua mtani jembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…