Deibrah Member Joined Dec 16, 2022 Posts 10 Reaction score 4 Dec 27, 2022 #1 Habari wapendwa anaeweza kunisaidia hili ni somo la kiswahili mifano tofauti tofauti ya vitenzi vishirikishi hata mi3 plsss
Habari wapendwa anaeweza kunisaidia hili ni somo la kiswahili mifano tofauti tofauti ya vitenzi vishirikishi hata mi3 plsss
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jan 1, 2023 #2 Deibrah said: Habari wapendwa anaeweza kunisaidia hili ni somo la kiswahili mifano tofauti tofauti ya vitenzi vishirikishi hata mi3 plsss Click to expand... Mimi NI mkulima Baba SI mkorofi
Deibrah said: Habari wapendwa anaeweza kunisaidia hili ni somo la kiswahili mifano tofauti tofauti ya vitenzi vishirikishi hata mi3 plsss Click to expand... Mimi NI mkulima Baba SI mkorofi