Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Dec 13, 2017 #1 Huyu jamaa leo kapost hii picha kwenye Instagram sijui anamaanisha nini
bryan2 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 3,323 Reaction score 4,679 Dec 13, 2017 #2 Huyu beki kitasa nasikia simba wameterminate mkataba wake ila kumezuka makundi wapo wanataka abaki wapo wanataka aondoke
Huyu beki kitasa nasikia simba wameterminate mkataba wake ila kumezuka makundi wapo wanataka abaki wapo wanataka aondoke
wamaukweli JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 1,084 Reaction score 1,277 Dec 13, 2017 #3 Kusoma hujui hata picha pia kuona huoni
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Dec 13, 2017 Thread starter #4 bryan2 said: Huyu beki kitasa nasikia simba wameterminate mkataba wake ila kumezuka makundi wapo wanataka abaki wapo wanataka aondoke Click to expand... Hii jezi mbona Kama ya watani zetu wamaukweli said: Kusoma hujui hata picha pia kuona huoni Click to expand...
bryan2 said: Huyu beki kitasa nasikia simba wameterminate mkataba wake ila kumezuka makundi wapo wanataka abaki wapo wanataka aondoke Click to expand... Hii jezi mbona Kama ya watani zetu wamaukweli said: Kusoma hujui hata picha pia kuona huoni Click to expand...
mwasipenjele JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 771 Reaction score 450 Dec 13, 2017 #5 Hyo picha ime editiwa
B bene michael Senior Member Joined Mar 1, 2017 Posts 130 Reaction score 98 Dec 13, 2017 #6 mwasipenjele said: Hyo picha ime editiwa Click to expand... Hiyo jezi inawezekana ni ya wakati akiwa Mamelodi Sundowns. Kuna nembo ya ABSA na neno UBUNTU vyote vya South Africa.
mwasipenjele said: Hyo picha ime editiwa Click to expand... Hiyo jezi inawezekana ni ya wakati akiwa Mamelodi Sundowns. Kuna nembo ya ABSA na neno UBUNTU vyote vya South Africa.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Dec 13, 2017 #7 duh mnakuaza mambo sana , hata kama ameondoka si kwa uzushi huu
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Dec 13, 2017 #8 Bora ameondoka maana kwa umri wake angepata aibu mno kwenye michuano ya Bara.. Imagine kitu Bocco alimfanyiaga mpaka akachanika nyama za paja...😀😀😀😀
Bora ameondoka maana kwa umri wake angepata aibu mno kwenye michuano ya Bara.. Imagine kitu Bocco alimfanyiaga mpaka akachanika nyama za paja...😀😀😀😀
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Dec 13, 2017 #9 Viol said: Hii jezi mbona Kama ya watani zetu Click to expand... alimaanisha kuwa amechezea simba kwa kipini kirefu ila moyo wake ulikuwa yanga.😀😀
Viol said: Hii jezi mbona Kama ya watani zetu Click to expand... alimaanisha kuwa amechezea simba kwa kipini kirefu ila moyo wake ulikuwa yanga.😀😀