Method Mwanjale kaondoka Simba SC?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Huyu jamaa leo kapost hii picha kwenye Instagram sijui anamaanisha nini
 
Huyu beki kitasa nasikia simba wameterminate mkataba wake ila kumezuka makundi wapo wanataka abaki wapo wanataka aondoke
 
duh mnakuaza mambo sana , hata kama ameondoka si kwa uzushi huu
 
Bora ameondoka maana kwa umri wake angepata aibu mno kwenye michuano ya Bara.. Imagine kitu Bocco alimfanyiaga mpaka akachanika nyama za paja...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…