Mexican footballer kills referee after headbutting over red card

Mexican footballer kills referee after headbutting over red card

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
MEXICO: Mchezaji mmoja wa soka anasakwa na POlisi kwa tuhuma za kumuua mwamuzi kwa kumpiga kichwa usoni sababu ya kupewa kadi nyekundu.

Tukio hilo limetokea katika Jiji la Tulancingo katika jimbo la Hidalgo.

Inadaiwa kuwa mchezaji huyo alilimwa kadi hiyo nyekundu sababu ya kupinga maamuzi ya refa kutoa adhabu baada ya mchezaji mmoja kucheza rafu.

==================================
IMG_0464.JPG


An amateur Mexican footballer is on the run after headbutting and inadvertently killing a referee who handed him a red card, according to local media reports.

The local football match taking place on the “Amigos del Balon” (”Friends of the ball”) pitch, some 120km northeast of Mexico City, ended in tragedy, when a red-carded player allegedly murdered the referee.

The incident occurred in the city of Tulancingo, Hidalgo state, on Sunday morning, as reported by the newspaper Criterion Hidalgo.

400d9b4740b92f38a673c0704e9f3296.jpg


According to the report, a referee named Victor Trejo red carded a player named Ruben Rivera Vazquez after he protested a foul. This action apparently angered the amateur athlete and he reportedly headbutted the referee in the face. The referee fainted. Paramedics present at the match tried to revive the victim, and the alleged perpetrator fled the scene in a pick-up truck.

Shocking photos from the pitch show the body of the sports official covered with a blue tarpaulin and the police working at the crime scene.

According to the emergency services, the referee died of a “widespread subarachnoid hematoma,” caused by a blow to the head.

Multiple police officers have been dispatched to catch the perpetrator. According to available information, the suspect is still on the run.

Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.


Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.

 
Inawezekana refa alikuwa mnoko zaid, huenda hakuwa tofauti na yule aliyechezesha mechi ya Simba na Yanga.
 
Yasije Yakatokea TZ tu! Kwa Marefa wenyewe Hawa Wa Kufanya Miamala Wakafungisha Magoli ya Mikono!!!!
 
Yaishie huko huko yasifike huku kwetu Tanzania
 
Inawezekana refa alikuwa mnoko zaid, huenda hakuwa tofauti na yule aliyechezesha mechi ya Simba na Yanga.
refa aliibeba sana simba yule,walicheza rafu sana kipindi cha pili na cha kwanza mwishoni
 
Ndo ubaya wa kucheza mechi za ma-junkie na crack heads.
 
Back
Top Bottom