Mexico: Mwili wa Mwanahabari aliyetoweka wapatikana

Mexico: Mwili wa Mwanahabari aliyetoweka wapatikana

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mwili wa Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uhalifu, Juan Arjon Lopez aliyetoweka Agosti 9, umepatikana ukiwa na majeraha kichwani, Kaskazini-Magharibi mwa Mexico

Mwandishi huyo mwenye umri wa Miaka 62 alikua anaendesha Ukurasa Katika Mtandao wa #FaceBook akiangazia Habari na Matukio ya Usalama katika eneo la San Luis linalosifika kwa kutawaliwa na magenge ya wafanya Biashara ya Dawa za Kulevya

Shirika la Kutetea Haki za Wanahabari la Reporters Without Borders, limeitaja Mexico kuwa moja ya sehemu hatari zaidi duniani kwa Waandishi wa Habari, kufuatia wanahabari wasiopungua 17 kuuawa Ndani ya Mwaka 2022 ikiwa 4 Kati yao wameuawa ndani ya wiki iliyopita

............................................

A crime reporter has been found dead in northwestern Mexico, the latest suspected murder in what is already one of the deadliest years ever for the country’s press.

Juan Arjon Lopez, an independent journalist who ran a news page on Facebook, went missing on August 9, according to the state attorney general.

A body with tattoos matching those of Arjon was recovered on Tuesday in San Luis Rio Colorado, the town where he disappeared. Arjon’s body was found showing “signs of violence,” Sonora Attorney General Claudia Indira told a press conference.

Mexico is one of the riskiest countries in the world for journalists, according to Article 19, which says at least 34 media workers have been killed in relation to their work since President Andres Manuel Lopez Obrador took office in December 2018. At least 17 journalists have been killed in 2022.

Last week, four employees of a radio station in the border town Ciudad Juarez were killed in what officials called gang-related violence. The week before that, journalist Ernesto Mendez was killed in the central state of Guanajuato in a bar he owned.

Arjon’s most recent news reports on his Facebook page were about a drug seizure and the recovery of several items of stolen goods.

Source: Al Jazeera
 
Back
Top Bottom