Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Walishindwa vipi kuwaitia wezi wawekwe chini ya ulinzi,wahojiwe ni wao ni nani na wametumwa na nani, vipi yeye hana hidden camera za kurecord matukio nyumbani kwake.Sema wanajua shughuli ya Bon wakamvizia hayupo pasingetosha hapo.
Ana shughuli gani mweupe
 
Mkuu usemacho ni kweli na ishu ile imekuwa kaa la moto watu wanajua wakitoa hukumu tu wanatimuliwa kazi
 
Mkuu sikupingi ila baada ya kupekua wamepata nini? Maana kama Jacob ni hatari nina uhakika kuna Xbit(kidhibit)
 
Haya ndio madhara ya nchi kukosa utawara bora mana hata wauni wanaweza kutake advantage ya kufanya uwarifu.
 
Haya ndio madhara ya nchi kukosa utawara bora mana hata wauni wanaweza kutake advantage ya kufanya uwarifu.
Pia hata kukupandikizia vitu,hapo kisheria atakiwi kukubali chochote kikikutwa kwako maana ajashirikishwa wala yeye kusaini, ishu ya video sio ushahidi maana inawezageuzwa kikawekwa kitu then wakarekodi tumekuta kitu.Hapo hamna kesi Kama kama kuna nia yeyote ovu kisiasa.
 
Huko nyumba kwa Meya kuna sensor kwamba ikishasense tukio la hatari inatuma taarifa polisi muda huohuo? Unaposema polisi hawakwenda unapaswa pia kujua walipewa taarifa ya hilo tukio ndani ya muda gani?

..ingekuwa amemkosoa / "amemtukana" malaika ungesikia amekamatwa mara moja.

..sasa tunahitaji uharaka huohuo uonekane ktk kulinda usalama wa viongozi wa upande wa pili, na wananchi kwa ujumla.
 
Kushindana na serikali isiyojali sheria nikazi kwelikweli. Mungu atuongoze
 
Wekeni CCTV Camera na alarming system bei yake haizidi laki 6
 
Sometime you guys u av to be kin,how come kila siku mnailalamikia serikali na taasisi zake halafu then unampeleka mgonjwa ktk taasisi hio hio ya serikali(Lugalo) hukuona taasisi nyingine.??? Acheni basi ukuda.
 
Kwa haya ninayosikia nashindwa kujua niko macho au naota,mambo haya ni mapya hapa nchini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…