Wapendwa naomba msaada wenu
leo hii nimeona sehemu nyingi za kupiga kura dar kawe wakitukana nana hasa
na wengine kulalamikia iweje londa anagombea udiwani huku kinondoni
na ubunge seehemu nyingine wakati huo huo..je hili ni ruksa CCM??

Ana-manage portfolio kwa ku-spread risk: Hawa jamaa hii ni business, sasa anaogopa kuweka mayai yote kwenye kikapu kimoja maana kikianguka huna kitu tena. Sasa ndiyo ninaamini kuwa chaguzi kuu zote huwa siyo huru na haki.
Ninawashauri kamati kuu, kuangalia uwezekano wa kuachia wapinzani 40% mwaka huu najua huwa wanachaguliwa kihalali ila hawatangazwi. Hii itakuwa na manufaa kwa CCM. Kama watu hawa ambao wengi (99%) ninaamini wapo CCM kwa masilahi binafsi watakuwa na imani kuwa kushinda si lazima uwe CCM, basi Chama kitabakia na watu safi na wenye nia njema na Tanzania.