KweliMstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi akiwa katika kikao cha baraza la Madiwani amesema kuwa mapato mengi yanapotea kwenye harusi,Mc na wapishi wa vyakula hivyo watendaji wa halmashauri wanapaswa kupita mtaani na kumbi za sherehe ili kukusanya mapato hayo kikamilifu.
"Tumepitisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Sh.Bil 50.3 ambapo mapato ya ndani tunapaswa kukusanya Sh.Bil 8.5 tutafanikiwa ikiwa wataendaji wote watapita kila kona zenye mapato kwa maharusi,Mc,wapishi na nyumba za wageni" Meya Moshi.View attachment 2085235View attachment 2085237View attachment 2085238View attachment 2085236
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2085278
Yaani wanivurugie sherehe aisee tutawagawanawakija mtawazuia si itakuwa mwendo wa mabavu tuu
Kamba ya meya hio jomon.. wameambiwa wale kwa urefu wa kambaMstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi akiwa katika kikao cha baraza la Madiwani amesema kuwa mapato mengi yanapotea kwenye harusi,Mc na wapishi wa vyakula hivyo watendaji wa halmashauri wanapaswa kupita mtaani na kumbi za sherehe ili kukusanya mapato hayo kikamilifu.
"Tumepitisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Sh.Bil 50.3 ambapo mapato ya ndani tunapaswa kukusanya Sh.Bil 8.5 tutafanikiwa ikiwa wataendaji wote watapita kila kona zenye mapato kwa maharusi,Mc,wapishi na nyumba za wageni" Meya Moshi.View attachment 2085235View attachment 2085237View attachment 2085238View attachment 2085236
Wanaona haziwatoshi bado dahHuyu meya amekosa ubunifu yaani anaona harusi tuu atuambie manispaa inapata kiasi gani kutokana na mlima kilimanjaro, hotel levy na service levy hapo mjini, kilimanjaro nationa park, stendi , soko la kiusa , kiborlon, pale memorial, leseni za biashara, n.k moshi mjini bado haijafikia kutafuta hela za kwenye harusi bana meya unazingua.