Aliyekua Meya wa jiji la Arusha Gaudence lyimo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha huku akisisitiza Maendeleo ya haraka zaidi
Gaudence Lyimo amewahi kuwa Meya wa Arusha kwa kipindi cha miaka miwili mwaka 2010 mpaka 2015 na Naibu Meya kwa miaka miwili
Lyimo amesema endapo atachaguliwa na chama chake cha CCM atahakikisha kwamba jimbo la Arusha mjini miradi itakuwa mikubwa nakuleta heshma ya jeniva ya Africa kwani ndio kitovu cha utalii
Alipo kuwa Meya alifanya nini zaidi ya kujigawia tenda za manispaa zifanywe na kampuni yake? Ubinafsi uli lirudisha nyuma jiji la Arusha kipindi chake.
Twende na Lema