Good job mpendwa good job, kwa pamoja tutashinda. TUZIDI KUOMBA MUNGU MAMBO YAENDE KAMA WAPGA KURA WANAVYOTAKA.Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.
Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.
Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.
Figure nitawapatia baadaye kidogo
Safi sana na hongereni wachaguzi wa Kimandolu.Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.
Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.
Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.
Figure nitawapatia baadaye kidogo
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.

Tunashukuru habari za huko arusha... hadi sasa ni kata moja tu bado ...lakini zote ..Ni peoples power!!
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.
Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.
Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.
Figure nitawapatia baadaye kidogo
Infact Hedi alijisahau na baada ya kupata u-Meya alio mke wapili na kujenga ghorofa na watu wakaamua wamsubiri kwenye poll box. Ukweli ni kwamba hata kura za Maoni alishindwa na wakamrejesha kwa nguvu bila ridhaa ya wananchi. Wamelikoroga na wamelinywa wenyewe.
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.
Katika kata hii ya Kimandolu CHADEMA inaongoza kwa matokeo yote kuanzia Rais, Ubunge na Diwani.
Kwa sasa hapa mtaani hakufai na hakuna kulala wananchi wameingia mtaani wanashangilia ushindi.
Wawe watulivu mpaka wapate matokeo yote ama sivyo inaweza leta chakachua kwa kupoteza focus