Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini, Juma Raibu ni mwiba mkali wa siasa za Moshi


Acha kuwa irrelevant, unaleta propaganda za kitoto. Ni lini Lissu alipigania ushoga?. Lissu alipambana na Magufuri kwa Mambo mengi ila hakuna suala la ushoga. Mmekosa vya kusema mmebaki kuongea uongo. Kuna kiongozi wa CCM alikutwa na KY chumbani na mwingine ilisadikika kuwa ameolewa Mombasa.
 

Sifa zote hizo kisa umeya. Ndio shida ya Viongozi wa Tanzania wakipata madaraka wanaya binafsisha. Kiongozi bora anapokosea anomba radhi au ana jiuzulu. Lakini kuongea ngonjera nyingi wakati umekosea inaonesha wewe sio kiongozi mzuri Bali mnafiki na upo kwa maslahi yako.

Kuna waziri wa nje wa ujerumani alishutumiwa ya kwamba amekopi sehemu ya thesis yake kutoka kwa watu, na ilikuwa sehemu ndogo Sana lakini akajiuzulu. Baadae alikuja kuwa Rais wa ujerumani, na ni juzi amestaafu. Sembuse umeya wa manispaa.

Kwa ushauri kwa meya, fanya Mambo mawili, omba msamaha au jiuzulu kujitetea hakuta saidia.
 
Reactions: Qwy
Maana ya malipo hapa hapa Ili fanya kazi yake.
 
magazeti haya yatakuja kuleta visasi hapo mbele ila kwa sasa ni ushabiki tu ethics za taaluma zimewekwa pembeni.
 
Mheshimiwa Meya kajianzishia uzi kujipa manyama
 
Umekuja kumwosha na ile SKENDO ya maparachichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…