Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyoooonge sanaAsante kwa taarifa salimu bimani!
Najua ungependa zaidi kama angekuja ufipa!Kinyoooonge sana
Jimbo la Lulindi,Masasi,Mtwara.Alikuwa mbunge wa Bunge lililomaliza muda wake kama sijakosea kupitia jimbo gani sijui kwenye mikoa ya kusini kati ya Mtwara au Lindi.
Jikite kwenye madaWewe mtu nilikupuuza sana tangu ulivyokuwa unahangaika na Nabii wako uchwara Wa Kilombero nikajua kweli Chadema kumejaa mazuzu, yaani hata akili kidogo tu kujua hilo Nabii tapeli mlishindwa sasa anawavua nguo tu
Sasa nijadili upuuzi wa M-CCM kwenda Act, kazi yangu ni kukukumbusha kuwa siku nyingine usiwe unashupalia mambo bila kuyafanyia utafiti unaonekana na wewe ni bendera tu fuata upepo.Jikite kwenye mada
Jimbo la Lulindi,Masasi,Mtwara.