Jerusalem2006
Senior Member
- Apr 19, 2020
- 143
- 626
Nauza meza na kiti vya ofisini, vimetumika mwezi mmoja tu. Nimevinunua jumla laki 5 na nusu.
Naviuza laki 3 tu sababu nina hama mkoa nimepata uhamisho wa kikazi, sifungui tena ofisi.
Kama una vihitaji nicheki Whatsapp au simu kawaida 0767891122. Vipo Kijitonyama.