Nauza meza na kiti vya ofisini, vimetumika mwezi mmoja tu. Nimevinunua jumla laki 5 na nusu. Naviuza laki 3 tu sababu nina hama mkoa nimepata uhamisho wa kikazi, sifungui tena ofisi. Kama una vihitaji nicheki Whatsapp au simu kawaida 0767891122. Vipo Kijitonyama.View attachment 3083750View attachment 3083749