Meza ya biashara Ilala, Karume au Kariakoo

Meza ya biashara Ilala, Karume au Kariakoo

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
309
Kwema wakuu
Nahitaji Meza ya kuuzia biashara yangu (nitaanza na mitumba) kwenye maeneo niliyoyataja, Ilala au Karume au Kariakoo.

Nahitaji Meza hata kama ni ya kukodi kwa masaa kadhaa kwa siku, mfano kuanzia tisa mchana na kuendelea.

Lakini pia kuna vile vibanda vya mbao au vya kuchomelea vya pembezoni mwa barabara vya 30k kwa mwezi, kama unacho au una mtu unayemfahamu anacho tuwasiliane pia.

Asante.
 
Back
Top Bottom