Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Wadau hebu tujuzane hivi hii meza ya juu ni nana anapaswa kukaa hapo katika shughuli zifuatazo:
Ø Mahafari shule, chuo nk mara nyingi tunaona mgeni rasmi,wamiliki na labda mkuu chuo/shule, wengine wote wahitimu, walimu na wazazi hukaa huko kajamba nani! Nauliza tu, kwa nini wahitimu ndo wasiwekwe hightable?
Ø Sherehe ka harusi, birthday, kipaimara nk mbona wazazi hawawekwi hightable? Wanaokaa hapo ni wale wahusika wakuu wa shughuli hii
Karibuni kwa michango yenu weekend njema!