Meza ya juu (Hightable) ni stahiri ya nani?

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Wadau hebu tujuzane hivi hii meza ya juu ni nana anapaswa kukaa hapo katika shughuli zifuatazo:
Ø Mahafari shule, chuo nk mara nyingi tunaona mgeni rasmi,wamiliki na labda mkuu chuo/shule, wengine wote wahitimu, walimu na wazazi hukaa huko kajamba nani! Nauliza tu, kwa nini wahitimu ndo wasiwekwe hightable?
Ø Sherehe ka harusi, birthday, kipaimara nk mbona wazazi hawawekwi hightable? Wanaokaa hapo ni wale wahusika wakuu wa shughuli hii…
Karibuni kwa michango yenu… weekend njema!
 

Unamawazo ya kukaa hightable tu!yaani kwenye kichwa chako hamna wazo lolote la kujenga mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…