Meza ya kulia kutumia miti iliyo shambani kwako

Meza ya kulia kutumia miti iliyo shambani kwako

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1624291246434.png

Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
 
Yani unakula chakula chako kizuri kitamu halafu ukae kwenye magogo Kama unakunywa pombe za kienyeji!? Aaa waapi!!!
 
Yani unakula chakula chako kizuri kitamu halafu ukae kwenye magogo Kama unakunywa pombe za kienyeji!? Aaa waapi!!!
Haina gharama kubwa kama kutengeneza viti. Au unapenda kulia kwenye mkeka?
 
Back
Top Bottom