Mfadhili wa Raila Odinga akutwa na bunduki zaidi ya 100 nyumbani kwake

Hizi bunduki atakuwa amepewa na CCM.
ACHENI LUGHA ZA UCHOCHEZI NYIE, ANDIKENI MAMBO YA KUELIMISHA NA USTAWI WA TAIFA LETU, UKIAMBIWA UONESHE AU UTOE MAELEZO KWA HAYO ULIYOYAANDIKA, UTASEMA UNAONEWA TAFADHALI TUMIANI UHURU WA KUANDIKA KWA UMAKINI SANA, KUMBUKA HAKUNA UHURU USIO KUWA NA MPAKA.
 
Ni bunduki tano na risasi 93,mleta uzi unapotosha umma.sasa sijui ni makusudi ama bahati mbaya.
 
Kind of agree with your assessment... had never heard of him....but it just sounds like politics to me...I guess it is (all bets are off) season..am not on Odinga or Uhuru side...just an observation...
 
Sasa kwanini wanatajwa walinzi wa naibu spika?

Bwana chikundi,
Hemu acha kuzungusha zungusha maneno. Tunasema hivil lile eneo la Area D alipopigwa Lissu risasi ni eneo ambalo wanakaaa viongozi waandamizi wa Serikali na Bunge akiwemo Naibu wa Spika na lina Ulinzi wa Polisi au SJKT. Swali ni wakti watu WASIOJULIKANA wanamimina risasi kwa Lissu wale WALINZI whether ni Suma JKT, Polisi au Mgambo where were they??These were the people to be taken to task instantly siyo kukimbilia kwa Dreva wa Lissu...!!!.
Maana kama mtu anakuja kushambulia eneo kama hilo lenye viongozi waandamizi wa Kiserikali lenye ulinzi tena mchana kweupe na akaondoka bila ya kukamatwa, kufyatuliwa risasi au kuwa blocked popote something somewhere must be very wrong on that fateful day...!!! Hii ina maana kuna siku Al-shaabab wataua viongozi wote hapo Dodoma...!!! Tuanzie hapo.
 
Chukua hatua saasa
 
thats politics. so no wonder
 
100 kumeanza hakuwa na burnet mabomu kama sheikh Abdu Rogo
 
Polisi wamemtegeshea hiyo! Ukipita Facebook ni povu dhidi yake toka Wakikuyu wenzie kisa ana-support NASA. Huyu na jamaa wa Citizen TV are most hated Kikuyus just b'se they chose to side with RAO!
 
Polisi wamemtegeshea hiyo! Ukipita Facebook ni povu dhidi yake toka Wakikuyu wenzie kisa ana-support NASA. Huyu na jamaa wa Citizen TV are most hated Kikuyus just b'se they chose to side with RAO!
 
CCM na Odinga ni kitu kmoja, yawezekana zingine zmetoka kwenye store ya Green Guard.
 
Polisi wamemtegeshea hiyo! Ukipita Facebook ni povu dhidi yake toka Wakikuyu wenzie kisa ana-support NASA. Huyu na jamaa wa Citizen TV are most hated Kikuyus just b'se they chose to side with RAO!
Sielewagi why owner wa Citizen aliamua waziwazi kushikamana na RAO badala na Kenyatta& allies...maana wakikuyu wana ile partnership in crime. Iweje hawa na yule marehemu Juma wakashikamana na jaluo (RAO?)
 
Hapana mkuu, AK47 siyo tu eti ni bunduki, wala si category moja na bastola.

Ile iko level nyingine, ni “assault riffle”, moja tu ni business nyingine kabisa, seuse tano?

Ile kitu inatema risasi 600 kwa dakika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…