Mfadhili wa Raila Odinga akutwa na bunduki zaidi ya 100 nyumbani kwake

Sielewagi why owner wa Citizen aliamua waziwazi kushikamana na RAO badala na Kenyatta& allies...maana wakikuyu wana ile partnership in crime. Iweje hawa na yule marehemu Juma wakashikamana na jaluo (RAO?)
Marehemu Juma alikuwa Mluhya. Huyu Mwirigi na Macharia ni exotic species among Kikuyus. Si Kikuyu wote makondoo. ..
 
Hapana mkuu, AK47 siyo tu eti ni bunduki, wala si category moja na bastola.

Ile iko level nyingine, ni “assault riffle”, moja tu ni business nyingine kabisa, seuse tano?

Ile kitu inatema risasi 600 kwa dakika mkuu.
Sheria za Kenya unazijua? FYI kule Turkana wafugaji walipewa AK47 kujihami na cattle rustles kipindi cha Moi.
 

Woi... Yaani politics is a dirty...very dirty and filthy game, how do these people sleep in the night, do they have souls.
 
Maybe one of the most obiquotos variant of AK47.

Bunduki alizokua nazo huyo jamaa sio za kawaida, aidha alikua anajiandaa kwa vita, au yeye ni enthusiast wa silaha ambapo anakusanya aina aina, ila sasa kuna tuhuma zinaibuka hizo bunduki zake zimetumika kwenye maandamano. Haikua inaleta mantiki kwanini polisi waamue kuweka shaba watoto ghafla.
 
Mbona yule dogo wa Nnape na wale wa Clouds hawajakamatwa?
 
Tumia akili ww ZOMBI mfuasI wa NASA anayeandamana abebe silaha kama AK47 kwenye maandamano? Na polisi wanamuangalia tu? Jubilee acheni siasa rahisi. Mkitaka kumaliza mchezo mmalizeni RAO kama mwanae. Hapo mtatawala milele
 



happenings in Kenya remind me of this movie..
 
Tumia akili ww ZOMBI mtu anayeandamana anabeba silaha? Na polisi wanamuangalia tu?

Rais Kikwete ipo siku aliwaambia muwe mnaongeza na za kwenu akili sio kubebewa kila kitu, jaribu kupanua uelewa wako la sivyo uwache kujihusisha kwenye mazungumzo ya wakubwa.
 
Rais Kikwete ipo siku aliwaambia muwe mnaongeza na za kwenu akili sio kubebewa kila kitu, jaribu kupanua uelewa wako la sivyo uwache kujihusisha kwenye mazungumzo ya wakubwa.
Tatizo unaweka ukada wa jubilee bila kutumia akili hata kidogo. Mmeshikwa pabaya. Subirin hao Jaluoz wa Kibera, mathare, Na baba dogo watakavyochafua Nairobi next week
 
Tatizo unaweka ukada wa jubilee bila kutumia akili hata kidogo. Mmeshikwa pabaya. Subirin hao Jaluoz wa Kibera, mathare, Na baba dogo watakavyochafua Nairobi next week

Nafikiri umenielewa....
 
Disturbing ..usicheze na Kenya Police...hawaogopi hata kurekodiwa



and so the drama continues....I pray for peace for our neighbours...
 
Bado na hapa wale wanaomficha dreva kwa kisingizio cha kisaikolojia wabanwe vizuri

You are off the point jamaa unakuwaje unaandika kitu ambacho hakina uhusiano na kicha cha habari au ndo upo kwenye kundi la shule za kata ambazo hazina waalimu?! Issue hapa ni Raila na tajiri rafiki na mfadhili wake na siyo Tundu Lissso na devera wake!!
 
Haya maharage uliyokula leo usiyarudie tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…