Mfahamu abiria aliyesafiri peke yake katika ndege ya kuwabeba abiria 360

Me pia nina bahati sana juzi nilipanda difenda peke yangu huku nimezingirwa na maaskari wenye silaha nzito!
Duu[emoji28][emoji13][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Nikiri wazi kabisa kwa nia njema kabisa kipengere cha hesabu nipo shallow![emoji12] wee shusha nondo tuu!
Hahahaha asante mkuu kwa kunipa go ahead, kwanza kabisa mkuu ndege za boing 777 zinatumia mafuta aina ya kerosene ( aviation kerosene) ni tofaut na kerosene ya kawaida.

So twende kwa mada husika. Aviation kerosene zinatofautiana density kulingana na engine yake but mara nyingi boing 777 hutumia aviation kerosene yenye density ya 0.85kg/l.

Na aviation kerosene katika soko la mwezi huu ilikua $1.6 /gallon na 1gallon=3.7ltrs,so

Kwa hiyo kama ndege ilitumia tani 25, basi ni sawa na kilo 25000. Ambazo ni sawa na lita 29411.76470, ambayo ni sawa na gallons 7949.12.

So ni sawa na $12718.6
Hizo gharama ni za mafuta tu, but kutoa ndege safar moja kuna gharama zingine kama za attendants, engineers,pilots, refueling cost na vingine vingi.
 
Haji manara pia aliwahi kupanda ndege peke yake kipindi hicho hicho cha korona ila hakuchukua video na hapo ndipo alipobugi. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwakweli lasivyo tusingepumua dar nzima ..
 
Haji manara pia aliwahi kupanda ndege peke yake kipindi hicho hicho cha korona ila hakuchukua video na hapo ndipo alipobugi ..
 
Kumbe ni Emirates, wale hawaendi hasara, sio leo! 🀣 🀣 🀣 Alafu safari yenyewe ni fupi, Mumbai ni hapo hapo tu. Unafkiri ingekuwa to SA wangethubutu? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hapo walipata hasara ya faida...yaani kama walitegemea kupata faida buku....basi walipata 250
 
Hili nalo ni janga inatakiwa Kabula halijatokea tanzania kwa njiwa wetu kutoka Chato - Dar es Salaam lijadiliwe bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…